Hiyo kampuni inatesa wafanyakazi wake kwa kuwalipisha marejesho ya wateja ambao wanashindwa kulipa marejesho yao
Ukikataa kulipa kazi unapoteza
Waziri ingilia kati hii changamoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.