Wizara ya Ajira na Vijana imulike kampuni ya BRAC kwa jicho la tatu

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
317
Reaction score
400
Hiyo kampuni inatesa wafanyakazi wake kwa kuwalipisha marejesho ya wateja ambao wanashindwa kulipa marejesho yao
Ukikataa kulipa kazi unapoteza
Waziri ingilia kati hii changamoto

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…