KERO Wizara ya Ardhi tatueni huu mgogoro unaozuia wananchi kupata hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani uliotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni

KERO Wizara ya Ardhi tatueni huu mgogoro unaozuia wananchi kupata hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani uliotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tulionunua viwanja vya mradi wa serikali vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni eneo la Tundwi Songani tunaomba kujua hatma yetu ya kupewa hati kwasababu wananchi tulionunua hivyo viwanja tumezuiwa kupewa hati zetu kutokana na mgogoro uliopo baina ya Wizara ya Ardhi na mhusika wa eneo aliyewauzia wizara ya ardhi.

2F5CF751-2DED-4D95-B672-8C377F388ECC.jpeg
2EBA774B-7F43-47A7-B5C2-46AC117A0CA8.jpeg
 
Hatma yetu ni nini?? Maama mpaka leo kimya
 
Back
Top Bottom