Wizara ya ardhi ya nini? Wakoloni walipiga kazi miaka 10/20 kwisha!

Wizara ya ardhi ya nini? Wakoloni walipiga kazi miaka 10/20 kwisha!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
wizara ya ardhi mpaka leo hii bado ina survey na kugawa/uza viwanja wakati kwa hali ya kawaida hiyo kazi walipaswa wawe walishamaliza muda na kukabidhi halmashauri husika.

Mkoloni alikuta mapori lkn alipiga kazi ndani ya miaka 10/20 nchi yote ilipimwa, maziwa, mito, bahari, kilimo wapi kilimwe nini, uvuvi kupandikiza samaki kwenye maziwa leo hii tunanufaika na samaki ktk maji baridi, mipango miji kila kitu sawa, bila kusahau madini yote yanayochimbwa leo hii ramani zipo wakoloni walifanya.

Leo hii wizara ya ardhi miaka 60 bado wana survey tu viwanja wakati kwa moani yangu haipaswi kuwa kazi yao …
 
wizara ya ardhi mpaka leo hii bado ina survey na kugawa/uza viwanja wakati kwa hali ya kawaida hiyo kazi walipaswa wawe walishamaliza muda na kukabidhi halmashauri husika, Mkoloni alikuta mapori lkn alipiga kazi ndani ya miaka 10/20 nchi yote ilipimwa, maziwa, mito, bahari, kilimo wapi kilimwe nini, uvuvi kupandikiza samaki kwenye maziwa leo hii tunanufaika na samaki ktk maji baridi, mipango miji kila kitu sawa, bila kusahau madini yote yanayochimbwa leo hii ramani zipo wakoloni walifanya, leo hii wizara ya ardhi miaka 60 bado wana survey tu viwanja wakati kwa moani yangu haipaswi kuwa kazi yao …
Watakula wapi per diem kaka?
 
Back
Top Bottom