Wizara ya Ardhi yaomba Bilioni 210 Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027

Wizara ya Ardhi yaomba Bilioni 210 Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Douglas Akwilapo, leo Mei 28, 2026, amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027, huku akiomba kuidhinishwa jumla ya Shilingi bilioni 210,259,515,000

Mchanganuo wa Bajeti


Matumizi ya Kawaida: Shilingi bilioni 100,124,553,000, ambapo Shilingi bilioni 61.1 zitaenda kwenye mishahara ya watumishi wa wizara na tume, na Shilingi bilioni 39.0 zikitengwa kwa ajili ya matumizi mengineyo

Miradi ya Maendeleo: Shilingi bilioni 110,034,962,000. Kiasi cha Shilingi bilioni 44.1 ni fedha za ndani na Shilingi bilioni 65.9 ni fedha kutoka kwa washirika wa maendeleo (fedha za nje)



 
well done ndugu Waziri Dr.Leonard,

unafanya kazi nzuri sana baba :KasugaYeah:
 
Wizara Ya Wahuni Hii Hawatoi Hati Miliki Hata Ufuate Hatua Zote, Zaidi Mpaka Mkono Ulambwe
 
Back
Top Bottom