Wizara ya Elimu, elimu yetu inachezewa sana, baadhi ya shule wanafunzi wanaosoma masomo ya sanaa hawafundishwi somo la hesabu

Wizara ya Elimu, elimu yetu inachezewa sana, baadhi ya shule wanafunzi wanaosoma masomo ya sanaa hawafundishwi somo la hesabu

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Hivi ni baada ya kufanya utafiti kwa baadhi ya shule ambapo wanafunzi wanaosoma masomo ya sanaa (Arts) wamekuwa wakizuiliwa kusoma somo la Hesabu.

Kwa ujumla huu ni ukiukwaji mkubwa wa sera ya elimu na mfumo mzima wa elimu kwani somo hili ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa. Wizara na wahusika kazi kwenu.
 
Hivi ni baada ya kufanya utafiti kwa baadhi ya shule ambapo wanafunzi wanaosoma masomo ya sanaa (Arts) wamekuwa wakizuiliwa kusoma somo la Hesabu. Kwa ujumla huu ni ukiukwaji mkubwa wa sera ya elimu na mfumo mzima wa elimu kwani somo hili ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa. Wizara na wahusika kazi kwenu.
Uzi unaoletwa kama hivi...unakuwa wakipumbavu sisemi kwa nini
 
Back
Top Bottom