Wizara ya elimu haina imani na walimu wa kiswahili,english,biology na maths

Wizara ya elimu haina imani na walimu wa kiswahili,english,biology na maths

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,347
Reaction score
1,828
Katika kile kinachoonyesha wizara ya elimu haina imani na walimu wa kiswahili,English,Biology na kiswahili,wameandaa mitihani ya wizara katika masomo hayo.Mtihani utafanywa na wanafunzi wa kidato cha nne tar 27 mwezi huu kwa shule zitakazoteuliwa.Baada ya mitihani hiyo wizara itafanya tathmini ya mitihani hiyo kisha walimu wa masomo hayo watapewa semina ili kuboresha taaluma zao.Hayo yapo kwenye barua iliyoandikwa na kusainiwa na katibu mkuu wa wizara ya elimu Paulina Mkonongo,kwenda kwa makatibu tawala wa mikoa.Kichwa cha habari cha barua hiyo ni PROGRAMU YA KUBORESHA TAALUMA YA WALIMU NA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI.Habari za ndani zinasema wizara ina wasiwasi na ubora wa walimu katika masomo hayo
 
Kuboresha na kutokuwa na imani ni vitu viwili tofauti kabisa. Kuna mabadiliko mengi na new developments hasa katika namna za kufikisha masomo (strategies and methods) zinazoendana na maendeleo ya sayansi na teknolojia na saikolojia ya kujifunza na kufunza. Ikiwa mabadiliko haya yapo, ni wajibu wa Wizara kama custodian wa elimu nchini kuwa na utaratibu wa kuboresha utoaji elimu. Na hapo ndipo tunapokuwa na hitaji la kuwa na periodic evaluation and testing of novel and improved ways of delivering education. Hivyo sioni jinkwa jinsi gani umeamua kufikia hitinisho kuwa serikali haina imani na walimu wa masomo tajwa.
 
Hata sisi waalimu hatuna iman na wizara ya elimu, basi hatuaminian.
 
Wizi mtupu!
Hilo litakuwa deal la kuchota hela tu hakuna lolote.
Wanazunguka mbuyu,kwanini hakutaka kujadili hoja ya Mh.Mbatia?
Sa hizi kila kukicha wanakuja na jipya!waache kukurupuka na kuongeza ukubwa wa tatizo.
 
Kwel kabsa masomo yanayooneka kuwa si magumu sana weng wao hujificha humo siajabu kumkuta mwl wa kisw anaogopa kufundsha ushairi na kudanganya baadh ya mada eti naye mwl.shangaa watoto wanafel sna kisw kulko kimombo.
 
Hata sisi waalimu hatuna iman na wizara ya elimu, basi hatuaminian.

hahahaaa,nilitaka kuandika hivohivo,me nafundisha kisw nasubiri waje na jipya hapo,kama semina itakua na pesa ntaenda kuchukua posho,maana hakuna jipya,yaan shule hakuna vitabu sasa semina itanisaidia kweli????kitabu kimoja wanafunz 60
 
watu wa arts wanasindikiza masomo ya biology na maths na watu wa science nao wanaona kiswahili na english ni ziada sababu hazina maana katika haya makundi mawili,mwanafunzi halazimishwi kusoma,mwenyewe ndie wa kwanza kuchagua kusoma au la.
La kufanya wizara irekebishe combinations za A level au masomo yanayochukuliwa na wanafunz kama hayana maana kwao wayaache,sion faida ya mimi kusoma masomo meeengi wakati A level nimesoma PCB extra bam and gs,sion faida ya masomo yaliyobaki na hata shule ckuwa na mkazo nayo,marekebisho yanahitajika na tena ni makubwa
 
Kwel kabsa masomo yanayooneka kuwa si magumu sana weng wao hujificha humo siajabu kumkuta mwl wa kisw anaogopa kufundsha ushairi na kudanganya baadh ya mada eti naye mwl.shangaa watoto wanafel sna kisw kulko kimombo.

hivi unakichukulia kisw ni kitu rahisi kama kuuza ubuyu!
 
watu wa arts wanasindikiza masomo ya biology na maths na watu wa science nao wanaona kiswahili na english ni ziada sababu hazina maana katika haya makundi mawili,mwanafunzi halazimishwi kusoma,mwenyewe ndie wa kwanza kuchagua kusoma au la.
La kufanya wizara irekebishe combinations za A level au masomo yanayochukuliwa na wanafunz kama hayana maana kwao wayaache,sion faida ya mimi kusoma masomo meeengi wakati A level nimesoma PCB extra bam and gs,sion faida ya masomo yaliyobaki na hata shule ckuwa na mkazo nayo,marekebisho yanahitajika na tena ni makubwa

Oooops! yaani usome science uone English haina maana! du sasa nimeelwa kwanini wanafunzi wanafeli kama huu ndi mtazamo wao!
 
Oooops! yaani usome science uone English haina maana! du sasa nimeelwa kwanini wanafunzi wanafeli kama huu ndi mtazamo wao!

Ww ndiye uelew!hv english ya shule mnamfunza mtu kuongea au ni kukalili vitabu!!!nina dvtion 2 ya form4 na two ya pcb form 6 ila english ingawa nina c o level lakn halijanisaidia lolote tambua ninachoongea nilijifunza primary nikiwa laureate int. fikilia ww mbulula
 
Naona wamechelewa kufanya hilo zoezi, kwani kufeli hakujaanza juzi wala jana. Ila kutokana na sarakasi za nchi hii, sitarajii makubwa, labda waje na mikakati mahususi na endelevu. Ila pia ikumbukwe kuna shule kama utitiri. Mhhh....vikwazo ni vingi.
 
Ww ndiye uelew!hv english ya shule mnamfunza mtu kuongea au ni kukalili vitabu!!!nina dvtion 2 ya form4 na two ya pcb form 6 ila english ingawa nina c o level lakn halijanisaidia lolote tambua ninachoongea nilijifunza primary nikiwa laureate int. fikilia ww mbulula

Asante sana lakini elewa hiyo english uliyo kariri toka huko primary ndio ilikusaidia kupat hizo division 2 za kariri pia kuanzaia form four na form six!
 
Asante sana lakini elewa hiyo english uliyo kariri toka huko primary ndio ilikusaidia kupat hizo division 2 za kariri pia kuanzaia form four na form six!

Ni kweli ckatai sababu primary english ili kua c kusoma tu darasan bali na mazingira ya shule no english no service kweli!hz primary za serikali mtu anamaliza hajui kusoma itakuwa ajue english!!!!ukiwa sekondar zetu balaaa hakuna kitu ndio maana vijana wanafeli hawalifuatilii hususan wa science na nimeona hili!watafute suluhisho au lipewe sifa kama civics na maths watu watalisoma kwa bidii
 
Ww ndiye uelew!hv english ya shule mnamfunza mtu kuongea au ni kukalili vitabu!!!nina dvtion 2 ya form4 na two ya pcb form 6 ila english ingawa nina c o level lakn halijanisaidia lolote tambua ninachoongea nilijifunza primary nikiwa laureate int. fikilia ww mbulula

assume usingejifunza kabisa hiyo English Ingekuaje
 
Back
Top Bottom