Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Umofia kwenu GTs.
Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina. Wangefanya kazi yao vizuri leo hii nadhani vyuo vikuu vyote wanafunzi wangeendelea kusoma online.
Wizara ya Afya-hawakufanya uchambuzi sahihi namna ya kukabiliana na COVID19. Wangefanya kwa kina leo hii wauguzi na madakitari wangeajiliwa wengi, vifaa tiba na vya kujikinga vingekuwa vingi na tena vingine vingetengenezwa hapa Tanzania, maslahi ya wauguzi na madakitari yangeboreshwa kipindi hiki cha mpambano (posho zao zingewahishwa na kutolewa bila usumbufu).
Wizara ya Fedha-Walijiandaa vizuri (hongera sana Mh. Doto James, Mh. Dr Philip Mpango, Dr. Ashatu Kijaji), na ndiyo maana wizara hii imempatia ushauri sahihi rais, badala ya kukopa tupewe unafuu wa kulipa madeni, tusifunge biashara etc.
Wizara ya mambo ya ndani-Walifanya kazi yao vizuri sana kuchambua madhara ya COVID19, WUHAN lockdown ulikuwa mtego kwa ajili ya mahasimu wa China. Pamoja na total lockdown China haikuweza kumaliza maambukizi ila ilichofanya ni kuacha kuripoti visa vipya vya wagonjwa na vifo.