Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina

Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina

Sioni jinsi unavyomuweka rais mbali na huu mkwamo...!
Nyumba ikikosa mwelekeo lawama zote kwa Mkuu wa kaya...!
Hii ni vita... Na ni wakati wa kupata presidential briefings za mara kwa mara kutoka kila wizara, sekta na kila idara!!
Badala ya kuongoza vita, yeye kajificha anashauri jinsi ya kupigana vita!! Na kila akiibuka anawapuuza wanaopigana tena fontline...!!!
Shame!!
Katumbuliwa katibu.
 
Katumbuliwa katibu.
Haitoshi... Watu wanakufa kwa uzembe wa serikali na wizara zake alafu mtu mmoja anahamishwa tu kitengo!!
Washukuru tu kuwa hii ni Tanzania nchi ambayo kila kitu analaumiwa Mungu...
Elsewhere the general public would have reacted fiercely to question the credibility of this incompetent government!!
 
Back
Top Bottom