Wizara Ya Elimu Inalioneje Hili?

Wizara Ya Elimu Inalioneje Hili?

P.Limdi Man

Member
Joined
May 18, 2014
Posts
23
Reaction score
5
Suala ni kwamba kuhusu post za kidato cha nne 2013/2014 zinatoka lini mana mpaka sasa ni miezi mitatu tangu tumepata matokeo. kwa hiyo mwenye kujua naomba msaada nawasilisha wakuu!
 
Aseeee form four tulieni punguzeni upesi
miezi mitatu tu mnalalamika watu wanakaa miezi 7
 
Aseeee form four tulieni punguzeni upesi
miezi mitatu tu mnalalamika watu wanakaa miezi 7

ila kwa sasa hatusubiri ajira ila tunasubiri kwenda form five kwa hyo ndo mana tunasikitika sana mana ni bora waka2pa post il hata kama kuhama iwe rahc
 
ila kwa sasa hatusubiri ajira ila tunasubiri kwenda form five kwa hyo ndo mana tunasikitika sana mana ni bora waka2pa post il hata kama kuhama iwe rahc

Sema tu una hamu ya shule....haya basi subiri
 
Kuweni na subira watatoa tu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kiukwel kuhusu post za kidato cha nne ni had mwez wa sita tarehe 14 ndio mtazipata,ila kwa sasa saidien kaz kwanza walez na wazaz wenu
 
zaidi ni mwezi Julai ndipo Post zitakapotoka
Lakini muwaonee huruma na Wazazi wenu pia kwani ni kuchanganyikiwa
ukute una watoto wawili wamefaulu,
bado kuna ada za wadogo wenu wanaoingia muhula wa pili
Kodi ya mapato
Bima ya Gari
Kodi ya Jengo
Leseni ya Duka
MKASOME kushinda kweny Laptop. na F/ au JF mkaubunda huko ni Kilio kwetu
 
Poa bhana c watupe tu kwan wanataka nn wanataka tuanze kufanya maasi mitaan nitashukuru kama wata toa mwez huu
 
Ila kama ni tarehe 14 mwezi wa sita bac necta wanalao jambo wanataka kutufanyia
 
Back
Top Bottom