Kwa hili NECTA inabidi wabadilike.kuwe na tarehe rasmi ya kutangaza matokeo kitaifa na si kila mwaka na mda wake,hivyo kuwafanya wanafunzi na wazazi wanaosubiria matokeo kuwa katika hali ya kusubiria kwa kipindi kisichojulikana.
Kwa mitihani kama ya Cambridge huwa kwenye kalenda yao utaona hadi mda wa ku release results.Sijui kwetu kipi kinashindikana.