Wizara ya elimu inapaswa kusema muda muafaka wa kutoa matokeo

Wizara ya elimu inapaswa kusema muda muafaka wa kutoa matokeo

JamaaFlani

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
36
Reaction score
26
Jaman kama mshasahihisha mitihani na mkapanga matokeo na mnajua tarehe ya kuyatoa kwann msitujulishe na sisi kuwa mtayatoa tarehe fulani ili kila mtu akae akijua matokeo ytakuwepo tarehe fulani,
mbona kabla ya mitihani mnatoa ratiba?
 
ebu jaribu kumtafuta shukuru kwa sababu kule kwa dr ndalichako wameshamaliza kusahiisha
 
Kwa hili NECTA inabidi wabadilike.kuwe na tarehe rasmi ya kutangaza matokeo kitaifa na si kila mwaka na mda wake,hivyo kuwafanya wanafunzi na wazazi wanaosubiria matokeo kuwa katika hali ya kusubiria kwa kipindi kisichojulikana.
Kwa mitihani kama ya Cambridge huwa kwenye kalenda yao utaona hadi mda wa ku release results.Sijui kwetu kipi kinashindikana.
 
hapo sasa unajua majibu alaf unaanzisha uzi hatukujibu majibu unajua mwenyewe
 
hapo sasa unajua majibu alaf unaanzisha uzi hatukujibu majibu unajua mwenyewe

haya sasa ngoja nikupe mult choice uchoose one 1.mapichapicha 2.marinjirinji 3.uchakachuaji 4.uzembe 5.mambumbumbu(kwani it unit wa necta k2 kimoja wanakipost mwez c wazoef) 6.zuga
kaz kwako jichagulie hapooo
 
Back
Top Bottom