Hizi shule za serikali mnazosema elimu bure mbona mnatuchanganya sana,Kwa watoto wa darasa la saba kuna michango ya limu nzima,
Halafu kuna mchango wa kila wiki sh1000 kwa darasa la4 yani kwa mwaka ni48,000 mtoto mmoja ikiwa darasa hilo lina watoto wapo 100 ni 4,800,000 hii pesa yani inateketea kwenye limu ambayo mtoto anatumia moja kwa wiki ambapo kwa mwaka hamalizi hata limu bando.Hata kama ni kuchapa na kopi hela hizi ni nyingi.
Rai yangu viongozi kwenye kada husika chukueni hatua za kujemea hili vinginevyo tutawawajibisha kwa aibu.