Kwa wadau wa elimu.
Wakuu nimesikia hizi tetesi kuwa kutokana na ufinyu mdogo wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha 5 mwaka 2013, Wizara ya elimu inatarajia kushusha sifa za watahiniwa watakaojiunga na kidato cha 5 na badala ya C tatu, watachukua wenye C mbili na D tatu ili kujaza nafasi za wazi ktk shule nchini hapa na hii imetokana baada ya kuonekana zoezi la kurudia mitihani kuelekea kushindwa.
Mods msinipige ban kwani mjumbe hauwawi.