Luccy Godwin
Member
- Feb 15, 2013
- 20
- 0
Wahitimu wa shahada ambao wamesoma coz moja masomo yanayofanana wote chuo kimoja wote wamejaza form za kuomba ajira wizara ya elimu ajira zimetoka baadhi wameajiriwa wengine wanaachwa wanaenda kuuliza wizarani majibu yanakuwa wao hawastahili kufundisha secondari wakati hao baadhi wamepelekwa secondari hv wanajf inaingia akilini kweli?