Wizara ya elimu na Big Result Now

Wizara ya elimu na Big Result Now

HIMLER

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
429
Reaction score
221
Waungwana huu mkakati mmpya kutoka malesya kwa hapa tanzania utafanikiwa kweli jamani au ndo ujanja ujanja wa serikali wakati wa bunge kubadilisha matoke uwanjani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Linahitaji muda wa zaidi ya miaka 5 ili lifanikiwe!! Bt naona serikali inalazimishaa mabadilikoo ya haraka harakaa katika sekta ya elimu bila kujali/kuandaa mazingira mazuri kwa wawezeshaji wa sekta hiyoo(walimu&wakufunzi) that why! tutaishia kufuta matokeoo
 
Waungwana huu mkakati mmpya kutoka malesya kwa hapa tanzania utafanikiwa kweli jamani au ndo ujanja ujanja wa serikali wakati wa bunge kubadilisha matoke uwanjani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Tatizo ni kwamba hamna tafiti zozote zilizofanyika kuona je mbinu tajwa zaweza kuleta hayo matokeo makubwa tarajiwa!!? Napata shaka juu ya udhati wa serikali kwenye mkakati huu mfano kuna shule zaidi ya 3500 za O'level hapohapo kuna shule zisizozidi 400 za A'level, h hii inaonyesha ufinyu wa kupata elimu ya juu kwa wanafunzi wa O'level hebu tusidanganyane hayo matokeo yakiboreka japo kidogo tuseme basi waliopata daraja la kwanza had la tatu wawepo asilimia 30 tu wataenda wapi coz kama asilimia 11 walipata one mpaka three mwaka 2010!!! Na weng walikosa shule za serikali itakuwaje kwa 30!!? Hakuna matokeo makubwa wala nini...NAIPENDA SANA TANZANIA SIIOMBEI MABAYA LAKINI SITANYAMAZA KWENYE SINTOFAHAMU HII MSICHEZEE ELIMU NYIE WENYE MAMLAKA MLOFANYA IS ENOUGH!!!
 
Tunasubiri waje na kitu chengine saivi MAGAZIJUTO

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wizi mtupu. Eti kuna maofisa walioapishwa kuhakikisha big result inafanikiwa tena kuanzia mwaka huu. Hii ni day dream kwa sababu huwezi kupata matokeo makubwa kwa miundo mbinu ile ile, walimu walewale waliokata tamaa kwa kunyimwa stahili zao, na watoto wale wale ambao wengine hata majina yao kuandika ni mtihani japo wapo kidato cha nne. Kama akili zako ni nzuri huwezi kuapa wakati factors zinazofanya jambo hilo lifanikiwe ni external ones. Ilitakiwa wawaapishe na wazazi kwani na wao wana nafasi kubwa katika ufaulu wa watoto wao.
 
kiongozi, ninachojua hapa kwa BRN inawezekana tu kama wanamaana ya kutengeneza four nyingi za 33-30 kwa odinary level. kwani kupata four kiserikali ni ufalu .lakini tukisema one mpaka three hapa kuna kazi kubwa.
Aidha serikali wamelichukua suala hili kwa haraka mno, ambayo itapelekea mzozo kwa jamii pindi mambo yatapo kwenda vibaya. kwani jamii imeisha lipokea akilini mwao kana kwamba nilazima itokee tena kwa matokeo yafuatayo.
 
Hiyo,big result,,,without big salary is big problem now,,,,they need to think....
 
Back
Top Bottom