Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na TCU mko busy na issue gani mbona kimya?

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na TCU mko busy na issue gani mbona kimya?

smart one

Senior Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
132
Reaction score
75
Habari zenu!

Wakuu, nataka kufahamu hizi taasisi mbili yaani MOEVT na TCU zinashughulika na nini mbona wapo kimya na hawatuoneshi kama kuna jitihada zozote za kupunguza makali ya "did not scure"? nawaza hili kwa sababu mimi nipo chini ya hizi taasisi. TCU ilithibitisha kuwa nna vigezo vya kujiunga Univerity tena wakanivuruga kwa kunionesha ni kitivo gani nikichagua watanipa mkopo, nimekosa mkopo hawaoni kama wao ndo walionielekeza hiyo njia na napotea sasa hawaioni hatia? kama haitoshi hawajaiambia bodi kuwa tunastahili mkopo! TCU na wakala wenu CAS jioneni wenye hatia ktk hili.

MOEVT naomba amka sasa its about time kwako kuuona umuhimu wangu mwalimu mtarajiwa kupata mkopo kwa sababu nna haki tena ninazo sifa stahiki kupata mkopo, najua siasa inaweza kuhusika hapa, mmetupa siku mbili za kutazamia hili sasa tunasubiri kauli yenu baada ya bodi kusema imefunga mjadala kuhusu issue ya freshers season hii.

nawasilisha,
ahsante
 
Back
Top Bottom