wizara ya elimu vipi?

wizara ya elimu vipi?

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
647
Reaction score
72
Hivi ni kwa nini wizara ya elimu isingekuwa inapanga mda rasmi au tarehe maalum ya kutangaza matokeo huwa nashangaa sana kusikia matokeo yanachukua mda mrefu bila kutangazwa ilihali usahishaji unakuwa umekamilika mda mrefu au ndo huwa wanaanza kuyachakachua kwanza ili wapunguze gharama za kutengeneza result slip? Tumechoka ucheleweshwaji wa matokeo uxio na sababu za msingi kinachofuata tunadai matokeo kwa kuandamana...
 
unadhan we ndo mtu wa kwanza kufanya mtihani?
 
2lia dogo haraka ya nn wewe unafkri mtihan wa taifa n kama test darasana?? ukikua utaacha.
 
kwani wewe hujapata matokeo yako?haupo siriaz mkuu!
 
Hivi ni kwa nini wizara ya elimu isingekuwa inapanga mda rasmi au tarehe maalum ya kutangaza matokeo huwa nashangaa sana kusikia matokeo yanachukua mda mrefu bila kutangazwa ilihali usahishaji unakuwa umekamilika mda mrefu au ndo huwa wanaanza kuyachakachua kwanza ili wapunguze gharama za kutengeneza result slip? Tumechoka ucheleweshwaji wa matokeo uxio na sababu za msingi kinachofuata tunadai matokeo kwa kuandamana...

dogo kwa uandishi huo..kwenye 'S' unaandika 'X' bila shaka utakuwa umefeli vibaya mno. øèãáê&@:?) weee
 
matokeo gan ambayo unaulizia dogo kama ya form 6 mbona tayar au umefeli
 
Back
Top Bottom