Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
Hivi ni kwa nini wizara ya elimu isingekuwa inapanga mda rasmi au tarehe maalum ya kutangaza matokeo huwa nashangaa sana kusikia matokeo yanachukua mda mrefu bila kutangazwa ilihali usahishaji unakuwa umekamilika mda mrefu au ndo huwa wanaanza kuyachakachua kwanza ili wapunguze gharama za kutengeneza result slip? Tumechoka ucheleweshwaji wa matokeo uxio na sababu za msingi kinachofuata tunadai matokeo kwa kuandamana...