Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
Hivi ni kwa nini wizara ya elimu isingekuwa inapanga mda rasmi au tarehe maalum ya kutangaza matokeo huwa nashangaa sana kusikia matokeo yanachukua mda mrefu bila kutangazwa ilihali usahishaji unakuwa umekamilika mda mrefu au ndo huwa wanaanza kuyachakachua kwanza ili wapunguze gharama za kutengeneza result slip? Tumechoka ucheleweshwaji wa matokeo uxio na sababu za msingi kinachofuata tunadai matokeo kwa kuandamana...
matokeo gan ambayo unaulizia dogo kama ya form 6 mbona tayar au umefeli
dogo kwa uandishi huo..kwenye 'S' unaandika 'X' bila shaka utakuwa umefeli vibaya mno. øèãáê&@:?) weee
mi nazani ujaelewa ila umeelewa..
wewe ndiye uliyemaliza fm 6 au unauliza kwa niaba ya ndg/rafiki yako?SHULE GANI HIYO ULIYOSOMA?
matokeo gan ambayo unaulizia dogo kama ya form 6 mbona tayar au umefeli