Wizara ya Elimu yaja na mpango wa kushusha alama za ufaulu kuingia Form Five!

Wizara ya Elimu yaja na mpango wa kushusha alama za ufaulu kuingia Form Five!

Acheni kujipa moyo, elimu sio rahisi kama mnavyofikiria.
 
hamna hiyo sio kweli, kwa mm nnavyojua kitaifa wanafunzi wanaokwenda form V ktk shule za serikali hawatakiwi kuzidi 40,000. kwahiyo so rahis
 
hamna hiyo sio kweli, kwa mm nnavyojua kitaifa wanafunzi wanaokwenda form V ktk shule za serikali hawatakiwi kuzidi 40,000. kwahiyo so rahis

my be wataenda private coz wanao itajika katatika shule za goverment ni 40,000
 
Wizara ya elimu kwa sasa inao mpango wa kushusha alama za kufaulu kwa wananafunzi wanaomaliza kidato cha nne. Naibu waziri wa elimu Philipo Mulugo alisema kuwa wizara inaangalia utaratibu mpya wa kushusha alama, credit za kufaulu kutoka C tatu hadi D. Mulugo alidai kuwa ni vema mwanafunzi atakayemalza form iv akapata C mbili na D moja au D tatu waruhusiwe kujiunga kidato cha tano. Mimi binafsi hili jambo limenishangaza sana! hivi kweli elimu yeti watanzania tunataka kuipeleka wapi? Tukiruhusu haya baadae taifa letu litakuwa na wasomi wa aina gani? nimeamin kweli siasa ni mchezo mbaya..mmh yangu macho hii ndio Tziii bwana.
wanafanya hivi ili tuje tuongozwe na mitoto yao inayosoma huko nje!
 
Uwongo,uwongo tena huo uwongo uliokomaa naibu waziri kamwe hakuongelea hili swala.kaka aliyepost hii post ni muongo tena inawezekana akawa mpagani usiwe unadanganya bana.
 
hili halikubaliki hata kidogo kwani tutatengeneza taifa la watu wajinga.tujaribu kulinganisha elimu ya sasa na ya zaman. siku hizi wototo hawataki kusoma kwan facebook,mapenzi,simu,malezi mabovu,na kulegalega kwa mtaala wa elimu kumechangia kushuka kwa ubora wa elimu.my suggestion is goverment must make a new reform emediately so that they can avoid jeopardize especially in curreculum,tearching material and others.also students discipline,self study,assesment,grad and stick should be compulsory like privious day.
 
Kwa mwenendo huu ni dhahiri kuwa Kawambwa na Mulugo wana dhamira ya dhati ya kuua elimu y a nchi hii maana kujiunga na Kidato cha kwanza walishusha alama wakachaguliwa waliopata 28% badala ya 40% ambayo ndiyo alama iliyoko kwenye waraka wa wizara ambao bado haujafutwa.

Matokeo ya Kidato cha. 4 waliyauta kwa madai yalitolewa kwa kutumia mfumo ambao Baraza lilijiwekea bila hata kuihusisha wizara wakaamuru yapangwe upya. Wakati anayatangaza matokeo yaliyochakachuliwa akadai kuwa umetumika mfumo wa fixed grade range kwa sababu ule wa miaka iliyopita ulikuwa na matatizo na akakiri kuwa wizara ndiyo iliagiza NECTA ifanye mabadiliko. Hii ni wazi kuwa hapakuwa na sababu ya msingi ya kufuta natokeo ila Walitaka tu namna ya kupunguza ziro.

Sasa kama wanaona bado kuchakachua matokeo haitoshi wanataka kuchakachua na vigezo vya kujiunga na kidato cha Tano watathibitisha kuwa wao ni viongozi wa kudumaza elimu badala ya kuiendeleza.

Mungu inusuru elimu yetu na viongozi hao hatari wanaowaza kuchakachua badala ya kuboresha mazingira ya elimu na maslahi ya walimu
 
hili halikubaliki hata kidogo kwani tutatengeneza taifa la watu wajinga.tujaribu kulinganisha elimu ya sasa na ya zaman. siku hizi wototo hawataki kusoma kwan facebook,mapenzi,simu,malezi mabovu,na kulegalega kwa mtaala wa elimu kumechangia kushuka kwa ubora wa elimu.my suggestion is goverment must make a new reform emediately so that they can avoid jeopardize especially in curreculum,tearching material and others.also students discipline,self study,assesment,grad and stick should be compulsory like privious day.

Wizara ya Elimu inaona Liwalo na Liwe kwenye elimu
 
ukiona m2 anapost vitu kama ivo ujue amefeli au ana hzo C mbili so anatafutia confidence huku!!....toka huku nenda fb kawaeleze ujinga huu
 
ukiona m2 anapost vitu kama ivo ujue amefeli au ana hzo C mbili so anatafutia confidence huku!!....toka huku nenda fb kawaeleze ujinga huu

Teh teh brother umesema kweli kabisa, huyu jamaa anaonekana mfa maji kwahyo now anatapatapa tu, kama kashindwa C tatu O.level ataweza kweli huko mbele? Ifikie kipind mtu ukubari tu kuwa uwezo wako ndo umeishia hapo, wakati wenzako wanajiuliza watachaguliwa shule gani, yeye anaanza kujipa moyo kma atachaguliwa na hizo C zake mbili teh teh teh.
 
Back
Top Bottom