Wizara ya Elimu yasisitiza shule zote kufunguliwa Januari 13,2026 na si vinginevyo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeona taarifa potofu kupitia mtandao mmoja wa kijamii kuhusu kutokufungua shule Januari, 2026.

Tunapenda kuutaarifu umma wa watanzania na wadau wote wa elimu kuwa kalenda ya mihula ilishatolewa na Wizara kupitia Waraka wa Elimu Na. 5 wa Mwaka 2025 na Waraka wa Elimu Na. 6 wa Mwaka 2025 zilizotolewa tarehe 19 Novemba, 2025 kuhusu mihula ya masomo kwa shule za Awali, Msingi na Sekondari kwa mwaka 2026.

Kwa kuzingatia kalenda hiyo shule zitafunguliwa Tarehe 13, Januari, 2026. Hivyo tunaomba chapisho hilo lipuuzwe.

Aidha tunaendelea kusisitiza wadau wote kuzingatia utekelezaji wa Kalenda iliyotolewa.
1767079364014.png
 
Ok
 
Back
Top Bottom