Hii wizara inanipa mashaka sana toka nimekua nikapata na akili wamekuwa na mambo ya ajabuajabu sana na vitimbi kama si vibweka,vitu vingi walivyoamua wamekuwa hawawezi ku-foresee the future pia havikuwa na impact kwa walengwa zaidi ya kuwaletea maumivu na kuwachanganya wahusika,sijui tungoje matokeo tuone