Wizara Ya Elimu Yatoa mwongozo wa elimu Ya Juu

Wizara Ya Elimu Yatoa mwongozo wa elimu Ya Juu

EJay

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
693
Reaction score
172
Jana Waziri wa elimu Dk.Kawambwa ametoa mwongozo wa uwiano wa ngazi za elimu hasa degree kati ya vyuo vya umma na binafsi.

Kama kuna mwana JF ameupata naomba atuwekee humu.
 
Hii wizara inanipa mashaka sana toka nimekua nikapata na akili wamekuwa na mambo ya ajabuajabu sana na vitimbi kama si vibweka,vitu vingi walivyoamua wamekuwa hawawezi ku-foresee the future pia havikuwa na impact kwa walengwa zaidi ya kuwaletea maumivu na kuwachanganya wahusika,sijui tungoje matokeo tuone
 
Back
Top Bottom