Wizara ya Elimu

Wizara ya Elimu

ACTIVCT

Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
18
Reaction score
0
Hiv kubadibadili mitaala ya elimu bila kutoa vitabu vya kufundishia ni haki?.
 
NI HAKI. because...
1. hata kama mitaala ingebadilishwa mala infinity, mambo tunayo ambiwa tusome yapo na yalikuwepo.
2. Wanafunzi wakisha tungiwa kitabu, wanakuwa fixed kwa kusoma kitabu hichohiochu ili wafaulu(hii inafanya wasome kwa kumeza na wala sii kwa kuelewa). Kwa maana hiyo itakuwa triple loss kwa wizara kutunga vitabu badala ya kuacha wanafunzi wajitafutie material wenyewe. HII LEO MDOGO WANGU ASINGE KUWA ANASOMA (PRINCIPLES OF PHYSICS,PHYSICS YA NELKON,CONCEPTUAL CHEMISTRY, BS, UNDERSTANDIND BIOLOGY,) Ambavyo kiujumla vina bulk amount of informations helpful to our daily life.
FINALLY .. "KUISHINIKIZA WIZARA YA ELIMU KUTUNGA VITABU KILA INAPOBADILISHA SYLLABUS, NI KUENDELEZA MFUMO WA KUSOMA KWA KUKARIRI BADALA YA KUELEWA".
 
Back
Top Bottom