LGE2024 Wizara ya Katiba yatangaza kuwafunda viongozi wa Serikali za Mitaa kuhusu Utawala Bora

LGE2024 Wizara ya Katiba yatangaza kuwafunda viongozi wa Serikali za Mitaa kuhusu Utawala Bora

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Tanzania ndio nchi pekee ambayo mtu anapata madaraka kwanza alafu mafunzo yanafuata baadae

===========================================================

Wizara ya Katiba na Sheria imetoa elimu ya utawala bora na masuala ya kisheria kwa viongozi wa serikali za mitaa na kamati za usalama, ili kuwawezesha kutoa huduma bora na za haki kwa wananchi, ikilenga kupunguza malalamiko ya wananchi na kuboresha ufanisi wa serikali katika utendaji kazi wake.


 
Back
Top Bottom