Wizara ya kazi yakubali hati ya Dharura ya sheria mpya ya Pension na kujitoa kazini

Wizara ya kazi yakubali hati ya Dharura ya sheria mpya ya Pension na kujitoa kazini

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Sasa kujadiliwa upya bungeni, akiwasilisha bajeti ya Wizara ya kazi na ajila Bi Kabaka anesema kuwa kwa bunge ndilo lilipitisha sheria hiyo ndio hivyo hivyo litakazimika kuja kuifanyia marekebisho kwa hati ya dharura mwakani.
 
wafanyikazi migodini watashusha pumzi kwa kiasi kikubwa
 
Kwenye haya mambo yanayowagusa watu moja kwa moja, seeking their opinion is very important. Kwenda na kurudi kunapoteza muda wa kufanya mambo mengine muhimu kwa ustawi wa nchi yetu.
 
mbona hizi post zinachanganya moja inasema imekataliwa nyingine imekubaliwa tuelewe ipi
 
Tena wajadili na watoe majbu upesi, na waache kutikisa akili na maslahi ya watz waliojitolea nguvu zao kufanya kazi.
 
kuna mmama mbunge anayewasilisha report ya kamati ya wizara hii hata kiswahili kuongea kinamshinda anaongea ka mkenya au mkongo...unategemea atajali nssf yako na hao ndio wanakamati
 
Jamani na ile formula ya kukotoa mafao ya pspf wanagawanya kwa 540 ,hii inamkandamiza mtumishi mwenye kipato kidogo!
 
Manake haiwezekanimshahara wa 500,000/ agawanyiwe sawa na wa mshahara wa 1,500,000/, fomula hii inafeva weny salar kubwa
 
Mpaka mwakani? Tutakaoacha kazi sasa maanake imekula kwetu?
 
Sasa kujadiliwa upya bungeni, akiwasilisha bajeti ya Wizara ya kazi na ajila Bi Kabaka anesema kuwa kwa bunge ndilo lilipitisha sheria hiyo ndio hivyo hivyo litakazimika kuja kuifanyia marekebisho kwa hati ya dharura mwakani.

Hivi hati ya dharura maana yake ni nini hasa?Au mimi sielewi? Marekebisho ya sheria yatakayopelekwa bungeni mwakani ni kweli yatakuwa ya yamepelekwa kwa hati ya dharura? Au mkuu Return of undertaker umekosea?
 
hawa serikali ya magamba hubadilikabadilika kama kinyonga na ni mabingwa wa michezo ya kuigiza. tukizubaa hapa watapitisha hii sheria hata kama imethibitika kupingwa na wananchi wahusika walio wengi. ninachojiuliza ni, je, hii ni kwa faida ya nani? si waiweke hiari ili anayetaka aridhie mwenyewe? kwa nini wanalazimisha watu? si wajikusanye wao kwenye ofisi zao watunziane hizo akiba mpaka hiyo miaka 55? wanatulazimisha kwa faida ya nani? hivi ile ya wazee wa East Afrika liliishiaga wapi kweli ndugu zanguni wanajamvi?
 
Dhaifu in action,tusubiri tuone.....
 
Tena wajadili na watoe majbu upesi, na waache kutikisa akili na maslahi ya watz waliojitolea nguvu zao kufanya kazi.

yaani mpaka mwakani?!!! Au wanataka upepo upite tusahau? Mimi binafsi lazima nimkumbushe mnyika.
 
hivi haya mashirika ya mifuko ya hifadhi ya jamii vipi ? Eti fao la kujitoa halipo. Hivi wana akili kweli hawa? Mbona wanacheza na nguvu kazi za wau ???
 
hivi haya mashirika ya mifuko ya hifadhi ya jamii vipi ? Eti fao la kujitoa halipo. Hivi wana akili kweli hawa? Mbona wanacheza na nguvu kazi za wau ???

Duuu Mkuu ulikuwa nchini kweli? hahahah pole sana kitaeleweka tu lakini
 
hivi haya mashirika ya mifuko ya hifadhi ya jamii vipi ? Eti fao la kujitoa halipo. Hivi wana akili kweli hawa? Mbona wanacheza na nguvu kazi za wau ???

Interesting...Ndo maana nchi inauzwa wengine maskini hawana taarifa.
 
hivi haya mashirika ya mifuko ya hifadhi ya jamii vipi ? Eti fao la kujitoa halipo. Hivi wana akili kweli hawa? Mbona wanacheza na nguvu kazi za wau ???

Utakuwa wewe umedodoka leo kutoa MARS na kile chombo cha CURIOSITY, vinginevyo si bure!
 
Back
Top Bottom