Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
beth, Tatizo sio uwepo je mmejiandaa vipi na hili janga manake hawa hawana hodi ni kuamka asubuhi na kuwaona hao kunatakiwa kuwepo na kitengo maalum kuzunguka hayo maeneo jirani kupigwe dawa kuzunguka wakifika tu wanaishia hukohuko hawa hawana salia mtume
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app