Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Hili nalo NenoKwa nini tusiwaombe Kenya twende kuwasaidia kupambana na hao nzige huko huko ili kuwazuia kuingia Tanzania?
Achilia mbali hilo. Juzi hapa zimeibiwa hela mamia ya mabillion ya korosho. Sasa mimi hiki kitu sikukielewa kwa sababu hela ilikuwa iantolewa kwa kufuata kilo za korosho za kila mkulima, Sasa hiyo hela iliibiwaje tena nyingi hivyo? Maana issue ilikuwa ni kwamba, kama hela ikiibiwa, basi ina maana kuna kilo za mkulima zitakosa malipo. Mimi sikuelewa kabisa hii hela iliibiwaje!Asante wadau JF, hii sentensi itatajwa siku moja na mkuu akiwajibishwa mtu. Kweli hatuwezi shirikiana na jirani tena jumuia ya Afrika mashariki tunawasomi na viongozi wa ajabu sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani anajua vitabu vya mosses vinasema ukiona Nzige ujue kuna farao uchwara anaadhibiwa.Wachini yupo kimya na he is very janjafull, hapo amekaa kimya ili mkubwa wake akisee kisha abutuliwe.
Kijana sio mtu wa kukaa kimya hasa kwenye issue nyeti kama hizi. Binafsi huu ukimya wake unanipa walakini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliotoa kauli jana akiwa TBC kuwa anasubiri nzige ziiniingie Kilimanjaro kupitia Ukambani!
Ule utawaala wa m7 ni wapinga hela wanategeneza mazingira ya kupiga hela ndefu tu zinge bado wako Kenya lakini budget ya ma billioni ya shilling wa meshatengaNi swala la muda tu Uganda wamethibitisha kuwa kundi la Nzige wamevamia nchi hiyo
Rwanda wiki iliyopita Waziri wao wa kilimo alisema wanajiandaa vilivyo wakati huo hapa nyumbani mawaziri wetu husika walikuwa wanamlaani ZittoUle utawaala wa m7 ni wapinga hela wanategeneza mazingira ya kupiga hela ndefu tu zinge bado wako Kenya lakini budget ya ma billioni ya shilling wa meshatenga
Sent using Jamii Forums mobile app