Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Tatizo kubwa sana wakulima tulilo kuwa nalo lilikuwa Fall Worms au Viwavi Jeshi Vamizi.Mwaka huu nimeona tatizo lingine kubwa,nadhani ni Fungal Disease. Kama ni Leaf Rust or Leaf Spots sijui,but we need help in terms of methods of control, both cultural and chemical.
Nime-attach picha,ili kama tuna watu wa kilimo humu JF waone na kulitafutia tatizo hili ufumbuzi mapema. Mwaka wa jana tatizo hili lilikuwepo,ila halikuwa kubwa kama mwaka huu.
Please help us.
Nime-attach picha,ili kama tuna watu wa kilimo humu JF waone na kulitafutia tatizo hili ufumbuzi mapema. Mwaka wa jana tatizo hili lilikuwepo,ila halikuwa kubwa kama mwaka huu.
Please help us.