Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo tunalima kilimo cha umwagiliaji ugonjwa kuisha itakua ngumu,maana watu bado hawajajua chanzo hivyo utaendelea kuingia shamba Moja hadi jingineMwaka ujao nadhani hali itakuwa mbaya zaidi.Ila kupunguza ukubwa wa tatizo choma mabua yote.
Hiyo sio sababu mkuu.Maafisa ugani kwanza hata elimu ya kutosha hawana,frankly weledi wao ni very questionable.Tumeliona hili kwenye tatizo la Fall Worms,farmers were left to fend for themselves.Mimi kwa mfano shamba langu haliko mbali na kijiji ambacho kina VEO,lakini they simply don't care.I think they are hiding their ignorancy.Kwa swala Fall Worms,VEO alipaswa kuitisha mkutano wa kijiji atoe elimu ya ujumla kwa wanakijiji wote,lakini hakufanya hivyo.Why?We believe hana weledi wa kutosha.Frankly hata ukiongea nao,they are simply incapable.Hiyo ndio tabia ya mkulima waTanzania. Kwanini usitafte namba umpigie huyo mtaalamu aje kukutembelea. Kijiji kimoja afisa kilimo 1 anaehudumia watu let say 3000 . Mbaya zaidi wakulima wenyewe wametanyika sn. Je huyo Afisa Kilimo ataota km unashida ili aje kwako? Mradi ni wako aafu unakaa kimya itakula kwako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanao uza agricultural chemicals wengi hawana experience ya plant diseases,afadhali hata mimi.Hii nahisi ni Leaf Rust,lakini unahitaji confirmation through leaf sample analysis.Kwa hili Wizara inahitaji kuingilia kati, ili watupe ushauri in the short term,lakini wao pia waangalie uwezekana wa ku-devise solutions for the long term,icluding for example development of resistant varieties.Kwanini usiende nayo kwa duka ukaonesha?