naomba mnijuze wanajamiiforum, research officer ll, agro-officer ll na wakufunzi walishaitwa kwa usaili wizara ya kilimo? Nawasilisha nipo bush magazeti hayapatikani kiurahisi.

kazi yenyewe uliyoiomba ni ya shamba we isubiri hukohuko shamba nipe namba ya diwani wako nitampa taarifa kwa barua hii mitandao achana nayo we jiandae kuishi kishambashamba tu!