wizara ya kilimo

wizara ya kilimo

tunyi

Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
15
Reaction score
2
naomba mnijuze wanajamiiforum, research officer ll, agro-officer ll na wakufunzi walishaitwa kwa usaili wizara ya kilimo? Nawasilisha nipo bush magazeti hayapatikani kiurahisi.
 
kazi yenyewe uliyoiomba ni ya shamba we isubiri hukohuko shamba nipe namba ya diwani wako nitampa taarifa kwa barua hii mitandao achana nayo we jiandae kuishi kishambashamba tu!
 
naomba mnijuze wanajamiiforum, research officer ll, agro-officer ll na wakufunzi walishaitwa kwa usaili wizara ya kilimo? Nawasilisha nipo bush magazeti hayapatikani kiurahisi.

ajira iliahirishwa. walioajiriwa ni certificates and diploma. graduates no ajira. toka jan wapo kazini. shame upon the govt
 
Back
Top Bottom