Wizara ya Madini yaomba Tsh. Bilioni 174.9 kwa mwaka wa fedha 2026/2027

Wizara ya Madini yaomba Tsh. Bilioni 174.9 kwa mwaka wa fedha 2026/2027

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722


Waziri wa Anthony Mavunde, leo Aprili 27, 2026 amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma, ambapo ameomba jumla ya tsh trilioni 174,983,580,000

Mchanganuo
1. Tsh Bilioni 71,507,708,000 sawa na 48.87% ya bajeti yote ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo.
2. Tsh bilioni 103,475,872,000 sawa na 59.13% ni kwa matumizi ya kawaida
 
Back
Top Bottom