Yeyote atakaye mtendea mtoto ukatiliWasaalam,
Tafadhali ikikupendeza soma maelekezo ya kiambatisho hapa chini SEHEMU YA PILI (b).
Kisha tafadhali tenga muda wako usome utoe maoni yako kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo lililoambatishwa.
Natanguliza shukrani.
Source insta @bunge.tanzania
View attachment 3069439View attachment 3069440
Mimi bila bakora ningetoka kapaKwahiyo wewe bakora ndizo zilikufanya ukajua kusoma na kuandika?
Hivi nyie Waafrika mmelogwa na nani lakini? Kiukweli Waafrika ni binadamu walioishia njiani kwenye uumbaji ndiyo maana akili ni mgando.
Mimi nimesoma moja ya shule ambazo viboko ni marufuku na nilifaulu ufaulu wa kiwango cha juu pamoja na wenzangu.
Shule nyingi zinazoongoza kwa ufaulu mzuri na watoto wenye furaha muda wote ni zile zisizotoa adhabu za viboko mfano Shamsiye, Feza na nyingine nyingi.
Nonsensical , nchi zilizoendelea na bongo sio sawa nature ya vijana na watoto ni tofauti.Wewe viboko vilikusaidia nini? Hivi hizi akili za utumwa bado zingali vichwani vya Mwafrika?
Ama kweli Mwafrika sio banadamu kamili aliyekamilika bali ameishia hatua fulani tu.
Nchi zilizoendelea hazina adhabu za kikatili za viboko lakini ndiyo wagunduzi wa teknolojia mbalimbali duniani.
Yani mheshimiwa hata kabla sijasoma kilichomo, waheshimisheni kwanza wazazi wa kiume katika suala zima la malezi ya mtoto. Kama ilivyo kumleta mtoto duniani ni jukumu la wawili, basi hata kama wazazi.hawa wametengana, pawepo na usawia katika malezi.Wasaalam,
Tafadhali ikikupendeza soma maelekezo ya kiambatisho hapa chini SEHEMU YA PILI (b).
Kisha tafadhali tenga muda wako usome utoe maoni yako kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo lililoambatishwa.
Natanguliza shukrani.
Source insta @bunge.tanzania
View attachment 3069439View attachment 3069440
Endelea kuamini kwenye ukatili eti ndiyo njia ya kuwafunza watoto wako.Nonsensical , nchi zilizoendelea na bongo sio sawa nature ya vijana na watoto ni tofauti.
Iwe ni kosa kumnyanyasa mtu anayetaka kumsaidia mtoto ambaye mzazi wake amesahau kumsaidia.Tunaomba itungwe sheria iwe ni kosa la jinai mzazi au mlezi kutompeleka mtoto shule ama kufanya njama mtoto aache shule.
Iwe ni kosa la jinai mtoto kutopatiwa mahitaji yake muhimu, yakiwemo ya shule.
Binafsi naomba wizara ishirikishe walimu wa ushauri na unasihi tangu ngazi za shule ya awali hadi vyuo vikuu. Walimu wapewe mafunzo yatakayowawezesha kuzungumza na jamii inayowazunguka hasa kuhusu malezi.Wasaalam,
Tafadhali ikikupendeza soma maelekezo ya kiambatisho hapa chini SEHEMU YA PILI (b).
Kisha tafadhali tenga muda wako usome utoe maoni yako kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo lililoambatishwa.
Natanguliza shukrani.
Source insta @bunge.tanzania
View attachment 3069439View attachment 3069440
NAKAZIAIkitokea Mwanamke kudanganya na kumbambikia Mumewe Mtoto ambaye siô wake. Mtoto ataendelea kuwa Mtoto wa huyo Mwanaume wa kambo kisheria mpaka atakapofikisha Umri wa kujitegemea. Ikiwa Mtoto akataka kwenda Kwa Babaake halisi, huyo Baba halisi itampasa atoe fidia ya Pesa Kulingana na Maisha ya kipindi husika
Awe Waziri Mkuu Wa JMTSawa Mama,Asante kwa Taarifa.
I wish uwe waziri wa mambo ya ndani
Itapendeza zaidiAwe Waziri Mkuu Wa JMT
Ile taasisi ya Athumani kapuyanga ifungwe kwa vitendo na sii kwa maneno,maeneo ya vichochoro vya Dar es salamu hii NGO inaonekana na mabango yake bila kificho,mfamo wa kifremu cha biashara,ninazo taarifa za uwepo wake eneo la kwamzala,karibu na shule inaitwa mackenzie hii ni chekechea.Kumbukeni ilitolewa agizo la kufungwa shughuli zake,kwa waliyofanya tabora.Wasaalam,
Tafadhali ikikupendeza soma maelekezo ya kiambatisho hapa chini SEHEMU YA PILI (b).
Kisha tafadhali tenga muda wako usome utoe maoni yako kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo lililoambatishwa.
Natanguliza shukrani.
Source insta @bunge.tanzania
View attachment 3069439View attachment 3069440
Adhabu za viboko ni kudhalilisha na kuutweza utu wa mtoto nashangaa ulimwengu wa leo bado kuna watu wanaamini kwenye vipigo kama njia ya kutatua kosa.
...