McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu
Serikali yahakikishia usalama wa watalii nchini
Wizara ya Maliasili na Utalii imesema hali ya amani na utulivu imerejea nchini, na shughuli zote za kijamii na kiuchumi zinaendelea kama kawaida baada ya vurugu zilizotokea kati ya Oktoba 29 na Novemba 1, 2025.
Imeeleza kuwa huduma za usafiri wa anga, reli, barabara na maji zinaendelea kama kawaida, na watalii wanahimizwa kuendelea na mipango yao ya kutembelea vivutio mbalimbali bila hofu yoyote.