Wizara ya Mambo ya Ndani ni Wazara yenye kukuvua nguo muda wowote

Wizara ya Mambo ya Ndani ni Wazara yenye kukuvua nguo muda wowote

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hakuna wizara ambayo ngumu kama wizara ya Mambo ya Ndani, naona wangesoma waliopitia hii wizara na mwisho wake walikuwaje.Kuna wengine mpaka wakadharaulika, wengine walijiondoa kulinda heshima zao.

Sasa wengine wanaona kupigiwa saluti ni sifa wamuulize Mwigulu alivyoachwa porini
 
Msajili alijaribu kulipiga mkwara kanisa la kkkt waziri akamuweka kando kisha naye akatumbuliwa
 
Kuna huyu mmoja anaongea kama ana maji mdomoni.
Ameamua kujivunjia heshima kwa kutetea uovu.

Amekuwa kijana wa hovyo sana.
DOMO KAMA NELLY NYIMBO YA DAILEMA
 
Back
Top Bottom