Wizara ya Mambo ya Nje yatangaza nafasi za masomo Misri

RUKIA MBONDE

Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
64
Reaction score
50
1093627

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea nafasi za masomo ya
muda mrefu katika fani ya Sayansi kutoka Serikali ya Misri.

Masomo hayo ambayo ni kwa ngazi ya Shahada ya Uzamili na Uzamivu yatatolewa kwenye Chuo Kikuu cha Alexandria kilichopo nchini Misri chini ya udhamini wa Mpango wa Bonde la Mto Nile (Nile Basin Initiative).

Mwisho wa kuomba nafasi hizo ni tarehe 30 Mei 2019. Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi hizo na namna ya kuomba, tafadhali tembelea tovuti ifuatayo: www.nbs.alexu.edu.eg

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dodoma.
10 Mei 2019
 
Hapo jiwe atajisifu aise atadhani yeye ndio wa kwanza kupeleka watz nje kusoma

All in all ni Mungu ni mwema
 
View attachment 1093627

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea nafasi za masomo ya
muda mrefu katika fani ya Sayansi kutoka Serikali ya Misri.

Masomo hayo ambayo ni kwa ngazi ya Shahada ya Uzamili na Uzamivu yatatolewa kwenye Chuo Kikuu cha Alexandria kilichopo nchini Misri chini ya udhamini wa Mpango wa Bonde la Mto Nile (Nile Basin Initiative).

Mwisho wa kuomba nafasi hizo ni tarehe 30 Mei 2019. Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi hizo na namna ya kuomba, tafadhali tembelea tovuti ifuatayo: www.nbs.alexu.edu.eg

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dodoma.
10 Mei 2019
Misri kuna nini la mana. elimu ni USA na western europe kwingineko ni ujinga tu!
 
Back
Top Bottom