J JUMA JUMA JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 790 Reaction score 964 Jun 9, 2021 #1 Taarifa Kwa Umma kutoka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Jun 9, 2021 #2 Watakuwa wamebadili gia angani tu hawa!
Dive JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 895 Reaction score 1,489 Jun 9, 2021 #3 Wamebadili gia angani hii habari ya line moja nimeisoma Mwananchi. Huyu Waziri Dk Ndugulile ana shida kwanini anaongea vitu sivyo while ni Waziri
Wamebadili gia angani hii habari ya line moja nimeisoma Mwananchi. Huyu Waziri Dk Ndugulile ana shida kwanini anaongea vitu sivyo while ni Waziri
Dive JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 895 Reaction score 1,489 Jun 9, 2021 #4 Mwananchi wameshaifuta kwenye wavuti yao haraka
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 3,629 Reaction score 4,831 Jun 9, 2021 #5 Mwendazake alitaka iwe hivi.
U Umkonto JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 2,652 Reaction score 4,593 Jun 9, 2021 #6 Dive said: Mwananchi wameshaifuta kwenye wavuti yao haraka Click to expand... Ni kweli, hiyo imerushwa leo asubuhi na gazeti la mwananchi
Dive said: Mwananchi wameshaifuta kwenye wavuti yao haraka Click to expand... Ni kweli, hiyo imerushwa leo asubuhi na gazeti la mwananchi
D DUMU JF-Expert Member Joined Sep 23, 2019 Posts 440 Reaction score 587 Jun 9, 2021 #7 Wamebadili gia hao hili jambo walishalijadili sana tulikuwa tunasubiri utekelezaji wake tu.