Wizara ya michezo acheni kumkuza Samatta peke yake, mnawakatisha tamaa 'maprofesheno' wengine

Wakenya walishatuacha mbali Sana wana ma Pro kibao walioliletea sifa taifa
Kwa tz samata kwa kizazi hiki ni mmoja ya vijana wanapaswa kusifiwa kwa njia alinopita hata mwakinyo anakuja vzr
Mwanzo tumekua na Thabit Hashim
 
Ila wana shobo na Diamond wetu.. Mlima Kilimanjaroo wetuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi tofauti na samata ni mtanzania gani mwingine anayecheza ligi za ubeberuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…