luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Waziri wa hii wizara sijui kama ana tambua kwamba bado wale wateja waliolipia 27k NC mpaka leo baadhi / wengi wao wana sumbuliwa kwa maana bado hawajawekewa huduma ya umeme ...
Awali ilisikika ya kuwa tareh 30 March w022 ndio ilikuwa mwisho kwa wateja hawa kuwekewa umeme ...lakini mpaka leo agizo hilo hali ni kama limetupiliwa mbali ktk dustbin
Hakika TANESCO ni sikio la.kufa