luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ndugu mtejaWaziri wa hii wizara sijui kama ana tambua kwamba bado wale wateja waliolipia 27k NC mpaka leo baadhi / wengi wao wana sumbuliwa kwa maana bado hawajawekewa huduma ya umeme ...
Awali ilisikika ya kuwa tareh 30 March w022 ndio ilikuwa mwisho kwa wateja hawa kuwekewa umeme ...lakini mpaka leo agizo hilo hali ni kama limetupiliwa mbali ktk dustbin
Hakika TANESCO ni sikio la.kufa
Kheri niangalie youtube kuliko kutuma huu upuuziNdugu mteja
Tafadhali tujulishe[emoji116]
Tatizo
Wilaya
Simu
Namba ya taarifa
Toka lini
Kwa hatua zaidi
Huduma kwa wateja
0748550000
Kuna mtu alilipia kabis bado wanamtimia tn no ya malipo alipie tenaNdugu mteja
Tafadhali tujulishe[emoji116]
Tatizo
Wilaya
Simu
Namba ya taarifa
Toka lini
Kwa hatua zaidi
Huduma kwa wateja
0748550000
Hata mkijulishwa akuna mnachokifanya.Ndugu mteja
Tafadhali tujulishe[emoji116]
Tatizo
Wilaya
Simu
Namba ya taarifa
Toka lini
Kwa hatua zaidi
Huduma kwa wateja
0748550000
Kwa kweli.....Ni Bora ubeti kuliko kutuma upuuzi huo [emoji23]Kheri niangalie youtube kuliko kutuma huu upuuzi