Mamlaka watusaidie kutoa ufafanuzBei ya shaba inategemea na soko la London Metal Exchange (LME). Huenda Demand ya Copper imekuwa kubwa au Supply imekuwa ndogo. Au gharama za uchimbaji zimekuwa juu.
Hakuna anayeweza kukusaidia katika hili. Hata kama shaba inaokotwa jalalani, lazima iuzwe kwa bei (FOB prices) zilizoainishwa na soko la Ubadilishanaji metali la London. Serikali haipangi bei ya shaba, hata Serikali ya Zambia ambako Shaba inachimbwa, haina say juu ya bei ya shaba. Say wanayo mabeberu.Mamlaka watusaidie kutoa ufafanuz
Oooh hivyo!?Hakuna anayeweza kukusaidia katika hili. Hata kama shaba inaokotwa jalalani, lazima iuzwe kwa bei zilizoainishwa na soko la Ubadilishanaji metali la London. Serikali haipangi bei ya shaba, hata Serikali ya Zambia ambako Shaba inachimbwa, haina say juu ya bei ya shaba. Say wanayo mabeberu.
Oooh hivyo!?
HowIndustry 4.0
yaani bei kupaa ndiyo tatizo au fursa?Kuna malalamiko mengi sana juu ya soko la shapa kupaa!
Gharama ya mauzo na manunuzi ya shaba (copper) imepaa sana kwa zaidi ya 45%-55% ya bei ya awali je tatizo ni nini?
Nani anafahamu kwa nini soko la madini hayo limepaa sana?
Shida iko wapi? Wenye majibu tafadhali
yaani bei kupaa ndiyo tatizo au fursa?