Wizara ya Nishati na Madini Watawazuia wananchi wa kawaida kupata fulsa ya sekta ya gesi

Wizara ya Nishati na Madini Watawazuia wananchi wa kawaida kupata fulsa ya sekta ya gesi

king11

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Posts
327
Reaction score
79
Kutokana na fulsa zilizotakiwa watanzania waweze kusoma masuala ya gesi na mafuta lakini mpaka sasa nafasi hizi kwenye website ya wizara ya madini zimefungwa na wajanja wachache hili zisifunguke na watoto wao wakiwasambazia ujumbe na kuwapa tangazo hilo . Je waziri analifahamu tatizo hilo au nae ni sehemu ya mpango huo? je Wananchi wakiamua kufanya kama ya mtwara Tatizo litakuwa kwa wananchi au watendaji wa wizara na serikali?
 
Back
Top Bottom