Wizara ya Nishati na Madini

Wizara ya Nishati na Madini

Mimi nafikiri kwamba hiyo wizara ni muhimu katika maendeleo ya nchi.Tatizo ni kuwa watekelezaji na viongozi wa hiyo wizara ni wabovu sana.
 
Pengine kwasababu inataka kuiba mafuta ya Zenji....Just kidding🙂
 
"(Last week the price of an ounce of gold hit over $1,100 in the world market but our bufoons in Tanzania - Chenge and them - negotiated a fixed price of $248 an ounce for the next 25 years!) Its no wonder they claim the mining companies have not made a profit yet - really!??!"

Quote from mkuu GELANGE VIDUNDA.
 
hivi wizara hii kwa nini iko kwenye spotlight namna hii?

Moja ya sababu ni kuwa vijana wanaoiongoza wizara hii ni cronies wa mafisadi; Ngeleja wa Rostam na Malima wa Manji. It becomes imperative that they are closely watched. Utendaji wao pia ni chini ya viwango tunavyovihitaji!!
 
Back
Top Bottom