Mwakyembe?..kuna waziri aliwahi kuhudumu ktk serikali ya kikwete na magufuli alikuwa anautaka huo mradi.
Usimsahau pia, huyo mwenyekiti anaweza kuwa tayari kapata fungu lake..., kwa upande wa pili!Hajawapa chao
Nchi ya hovyo sana
Madhara gani mkuu maana unakuwa AC toa somo mkuuMambo usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza. Umeme wa upepo na jua kuunganisha kwenye grid sio rahisi kama watu wanavyodhani, unaweza kusababisha matatizo mkubwa.
Kwa mwekezaji anayempigia chapuo, au wewe unadhani haiwezekani?Mwenyekiti kapata fungu wapi tena?
Mambo usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza. Umeme wa upepo na jua kuunganisha kwenye grid sio rahisi kama watu wanavyodhani, unaweza kusababisha matatizo mkubwa.
Samahani naomba nikutukaneMambo usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza. Umeme wa upepo na jua kuunganisha kwenye grid sio rahisi kama watu wanavyodhani, unaweza kusababisha matatizo mkubwa.
Dah! Ndio maana serikali hua hapotezi muda kujibu, wanakataa tu kimyakimya. 🤣🤣Mawazo mugando na ushamba tu huo. Matatizo makubwa?!! You’re not serious.
Tatizo hapa linaweza kuwa kwenye makubaliano ya kuuza umeme. Mtakumbuka ile mikataba ya Kikwetena kampuni ya mfukoni ambayo iliiba matrillioni na kuwafanya wahusika wa mwisho kukaandani miaka. Haya makampuni yanakuwaga na vipengele ambavyo wataendelea kuvuna hata kama hawatoi huduma. Ile kampuni ya mwanzo utumieumeme usitumie unalipa. Mitamboikisimama hata kwa ajili ya service unalipa. Huyu muwekezaji wa Singida anakwamishwa kumbe kuna kutokuelewana kwenye mkataba. Kwa hiyi tusilichukulie hili la kukwamishwa kama kweli nikukwamishwa, huenda kuna vipengele kwenye mkataba ambavyovikikubalika tutakuwa tumuingizwa choocha kike.Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Elia Digha ameilaumu Wizara ya nishati kwa kumkwamisha mwekezaji anayetaka kuzalisha umeme kwa njia ya upepo mkoani Singida.
"Nimezungumza nao wawekezaji wanasema wanakwamishwa na wizara husika, watu wasikwamishe miradi ambayo iko wazi Rais anahangaika kutafuta wawekezaji
Sure kusubiri serikali kuu iamue kila kitu nao ni kuchelewesha maendeleo tuuUgatuzi sera ya mkio / majimbo kuweza kutekeleza miradi dizaini hii bila kusubiri siasa za wizara / bunge huko Dodoma au Dar es Salaam .
Masuala ya uchimbaji visima vya maji, kuzalisha umeme uwe wa upepo au maporomoko madogo ya maji yasihitaji mpaka serikali kuu kuingilia utekelezaji. Serikali kuu Dodoma na Dar es Salaam intengeneze sera tu ya nchi kuhusu umeme na vyanzo vyake utekelezaji uachiwe mikoa / majimbo.
Alitamka wazi hadharaniMwakyembe?