Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 05 Mei, 2025 kushiriki vikao vya Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ambapo leo atawasilisha Mpango na makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026.
Waziri Ulega amefuatana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi, Godfrey Kasekenya.
Waziri Ulega
Bajeti ya mwaka 2025/26 inayowasilishwa Bungeni leo imeandaliwa kwa kuzingatia misingi na maono yafuatayo ya Taifa na Serikali yetu, dira ya Taifa ya mnaendeleo 2025, mpango wa Tatu wa maendeleo ya Taifa wa miaka mitano, Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020, Mpango mkakati wa Wizara, Ahadi za Viongozi wakuu wa Serikali, Malengo ya maendeleo endelevu mwaka 2020/30 na muongozo ya maandalizi ya mpango na bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26.
"Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi na kusheherekea tukio hili muhimu kwa Watanzania hususani wananchi wa kanda ya ziwa la uzinduzi rasmi wa daraja la John Pombe Magufuli yaani Kigongo Busisi, Mh Mwenyekiti kukamilika kwa daraja kutakuwa ni faraja ya wakazi wa kanda ya ziwa ambao wamekuwa wakitumia muda wa takribani masaa mawili kwa kuvuka upande mmoja kwenda upande mwingine"
"Mheshimiwa Spika, katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ya Ujenzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi, 2,280,195,828,000.00 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo.
"Kati ya fedha hizo, Shilingi 90,468,270,000.00 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida ya Wizara na Taasisi na Shilingi 2,189,727,558,000.00 kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo.
"Kati ya fedha za Matumizi ya Kawaida, Shilingi 85,028,585,000.00 ni za Mishahara ya Watumishi na Shilingi 5,439,685,000.00 ni za Matumizi Mengineyo"