Wizara ya Utalii yatangaza rasmi kuwa itawatumia wanawake wenye maumbo mazuri kuvutia watalii

Wizara ya Utalii yatangaza rasmi kuwa itawatumia wanawake wenye maumbo mazuri kuvutia watalii

Acheni ushabiki wa kininga. Mbona Rwanda wanatumia wanawake kutangaza utalii wake na hawajasema kuwa wanawadhalilisha wanawake. Na matokeo yao ni mazuri tu
Screenshot_20190222-091102.jpeg
Screenshot_20190222-090918.jpeg
Screenshot_20190222-091127.jpeg
Screenshot_20190222-091256.jpeg


God save us
 
Uzuri wa wanawake ni suala pana. Wenzetu wazungu hawavutiwi na wanawake wanene kama sisi waafrika. Sasa lazima tujue watalii watavutika na mama tetema!!?
 
Ndio siasa ya kumkomboa Mwanamke....!!!!!!!!


Ilihali wanamfanya Mwanamke kama Bidhaa Duni na Chombo cha Starehe tu

Bali wamewafanya kama Magarasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom