Wizara ya Utalii yatangaza rasmi kuwa itawatumia wanawake wenye maumbo mazuri kuvutia watalii

Nitaenda kutalii huko nibebe na mpira ule wa kutandika kitandani tusuharibu godoro
mkuu utakuta wameshatandika huo mpira, wala huna haja ya kununua TZ, utatozwa export levy buree 😀😀
 
Mmmh!! wanawake wamekua kama masokwe kuvutia watalii huo niudhalilishaji wa jinsia ya kike.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa nn umekimbilia kusema masokwe? Kwanini usingesema wanawake wamethaminiwa zaidi kwa kuwa kivutio zaidi? Mbona huwa wanavaa vizuri ili kuvutia wanaume na huo sio udhalilishaji?
 
Acheni ushabiki wa kininga. Mbona Rwanda wanatumia wanawake kutangaza utalii wake na hawajasema kuwa wanawadhalilisha wanawake. Na matokeo yao ni mazuri tu

God save us
 
Uzuri wa wanawake ni suala pana. Wenzetu wazungu hawavutiwi na wanawake wanene kama sisi waafrika. Sasa lazima tujue watalii watavutika na mama tetema!!?
 
Ndio siasa ya kumkomboa Mwanamke....!!!!!!!!


Ilihali wanamfanya Mwanamke kama Bidhaa Duni na Chombo cha Starehe tu

Bali wamewafanya kama Magarasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…