Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, akiwaongoza Rais wa FIFA, Gianni Infantino na wa Caf Patrice Motsepe kuelekea na kisha kushiriki zoezi la kupanda miti ya matunda katika eneo la Shule ya St.
Constantino, Arusha, kabla ya mechi ya kirafiki ya viongozi hao iliyochezwa jioni ya leo Agosti 10, 2022.